Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 19:12

Kenya: Suluhisho la tatizo la wasichana waliobaleghe kukosa sodo


Kenya: Suluhisho la tatizo la wasichana waliobaleghe kukosa sodo
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:36 0:00

Tatizo la wasichana waliobaleghe kukosa vitambaa vya hedhi ama sodo limeendelea kuwa kubwa kote barani Afrika pamoja na juhudi za mashirika mbali mbali kukabiliana na changamoto hiyo.

Hali haiko tofauti mjini Mombasa, Kenya ambapo kumeripotiwa matukio kadhaa ya wasichana kujiingiza kwenye vitendo vya ngono ili kusaidika kupata sodo na mahitaji mengine muhimu. Mwandishi wetu wa Kenya Amina Chombo ana taarifa kamili.

XS
SM
MD
LG