Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 15, 2025 Local time: 12:42

Gereza lashika moto mjini Tehran, dunia yafuatilia usalama wa wafungwa wa kisiasa

Gereza lashika moto mjini Tehran, dunia yafuatilia usalama wa wafungwa wa kisiasa
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:49 0:00

Moto na moshi ulionekana ukitoka kwenye gereza la Evin mjini Tehran. Maelezo bado hayako wazi, gereza hilo ambalo linajulikana sio la kawaida ambalo linawafungwa wa kisiasa nchini Iran vipi lilishika moto.

XS
SM
MD
LG