No media source currently available
Wakazi wa maeneo yaliyoathiriwa na mapigano mapya kati ya majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 wanaeleza sikitiko lao la kulazimika kuhama makazi yao na kukimbilia maporini kujificha kwa zaidi ya mwezi mmoja.