Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 05:46

DRC: Hifadhi ya Taifa ya Virunga ilivyoathiriwa na ukataji miti


DRC: Hifadhi ya Taifa ya Virunga ilivyoathiriwa na ukataji miti
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:56 0:00

Ukataji miti umesababishwa na vita kati ya wakimbizi na makundi ya kieneo yenye silaha ambayo yanapora mali katika Hifadhi ya Taifa ya Virunga. Ungana na mwandishi wetu akukuletea ripoti kamili kuhusu uharibifu wa mazingira unaoendelea katika eneo hilo.

XS
SM
MD
LG