Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 18:53

BIden na sika wa Bunge wafikia mwafaka kuhusu swala la ukomo wa deni la taifa


BIden na sika wa Bunge wafikia mwafaka kuhusu swala la ukomo wa deni la taifa
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:46 0:00

Rais wa Marekani, Joe Biden, na Spika wa baraza la wawakilishi la Marekani, Kevin McCarthy, Jumapili wamefikia muafaka wa kuongeza ukomo wa kiwango cha kukopa cha serikali ya Marekani, na wanalisihi bunge kuidhinisha mswaada huo ili kuiepusha serikali kuu kutoshindwa kwa mara ya kwanza kulipa deni.

XS
SM
MD
LG