Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 06:24

Historia yaandikwa baada ya Donald Trump kuwa rais wa zamani kusimama kizimbani


Historia yaandikwa baada ya Donald Trump kuwa rais wa zamani kusimama kizimbani
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.

XS
SM
MD
LG