Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 07:06

Kenya: Saluni inavyowasaidia wanawake wenye tatizo la kupoteza nywele


Kenya: Saluni inavyowasaidia wanawake wenye tatizo la kupoteza nywele
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:59 0:00

Saluni inayowahudumia wanawake ambao wanapitia matibabu ya magonjwa kama vile saratani. Mwanamke huyu Mkenya Diana alianzisha saluni hii baada ya kumpoteza rafiki yake kutokana na ugonjwa wa saratani.

XS
SM
MD
LG