Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 01:17

Wananchi waeleza ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani itaboresha biashara Tanzania


Wananchi waeleza ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani itaboresha biashara Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:53 0:00

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris amekamilisha ziara yake nchini Tanzania na kuelekea Zambia. Katika ripoti hii maalum mwandishi wetu mjini Dar es Salaam anatuletea kwa muhtasari mambo ambayo tayari wananchi wanasema yatakuwa ni chachu ya kukuza uchumi wa taifa la Tanzania.

XS
SM
MD
LG