Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 14:35

Kenya: Raila aongoza maandamano kwa wiki ya pili kulaani kupanda gharama ya maisha


Kenya: Raila aongoza maandamano kwa wiki ya pili kulaani kupanda gharama ya maisha
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ameongoza maandamano kwa wiki ya pili kupinga kupanda kwa gharama za maisha na kutaka haki katika mfumo wa uchaguzi.

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris amekutana na Rais wa Ghana wakati taifa hilo linakabiliwa na misukosuko.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG