Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 28, 2024 Local time: 09:28

Tundu Lissu kurejea Tanzania, aeleza serikali imeahidi wote walioondoka wakihofia maisha yao watakuwa salama

Tundu Lissu kurejea Tanzania, aeleza serikali imeahidi wote walioondoka wakihofia maisha yao watakuwa salama
please wait

No media source currently available

0:00 0:08:36 0:00

Mwanasiasa na kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Tundu Lissu aliyeondoka nchini Tanzania na kutafuta hifadhi Belgium ametangaza anarejea nchini. Sikiliza maelezo kamili kuhusu sababu zilizomfanya afanye uamuzi huo katika mahojiano haya maalum na Sauti ya Amerika kwa njia ya Skype.

XS
SM
MD
LG