Waatalamu wanasema sonona huwatokea kina maana baada ya kujifunguwa wakiwa na wasi wasi, msongo wa mawazo, shida ya kupata usingizi na hata mara nyingi kushindwa kumtunza mtoto wake.
Matukio
-
Januari 17, 2025
Mzigo wa magonjwa yanayochochewa na virusi barani Afrika.
-
Januari 03, 2025
Mazoezi yanavyoimarisha afya ya mwili pamoja na umri
-
Desemba 27, 2024
Tutamulika ufahamu kuhusu faida za kicheko kwa ustawi wako wa afya.