Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 17:32

Putin akutana na muungano wa nchi za Asia akitafuta kuungwa mkono katika vita vya Ukraine


Putin akutana na muungano wa nchi za Asia akitafuta kuungwa mkono katika vita vya Ukraine
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Rais wa Russia Vladimir Putin amekutana na muungano wa nchi za Asia akitafuta kuungwa mkono katika uvamizi wake huko Ukraine.

- Rais wa Uturuki na Rais wa Iran wamehudhuria mkutano muungano wa nchi za Asia ambako Rais Putin anatafuta kuungwa mkono katika vita yake dhidi ya Ukraine.

- Viongozi wa ulinzi kutoka nchi wanachama wa Muungano wa NATO wanakutana mjini Brussels, Ubelgiji kwa siku ya pili

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG