Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 20:18

Trump amtaka Ilhan Omar kujiuzuru


Trump amtaka Ilhan Omar kujiuzuru
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:25 0:00

Rais wa Marekani Donald Trump amtaka mbunge wa demokratiki Ilhan Omar mwenye asili ya Somailia kujiuzuru nafasi yake ya ubunge au kamati za bunge baada ya kutuma ujumbe kweye twitter uliokuwa na ujumbe mbaya kwa wayahudi.

XS
SM
MD
LG