Radio
19:30 - 19:59
MSF imesitisha operesheni zake katika kambi ya wakimbizi yenye takribani watu 500,000 nchini Sudan kutokana na ukosefu wa usalama .
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Chama cha upinzani Zanzibar ACT kinalalamika wafuasi wake wanakabiliwa na matatizo ya kujiandikisha kwenye daftari ya uchaguzi.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.