Radio
19:30 - 19:59
Biashara ya Wall Street ilishuka Jumatatu kwa hofu kuwa makampuni makubwa ya Marekani ambayo yameshiriki katika biashara ya akili mnemba.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.