Radio
16:30 - 16:59
Wakulima wa kahawa Afrika Mashariki walalamikia kuhujumiwa na mamlaka na madalali
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.