Radio
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Milio ya risasi inaendelea kurindima katika mji wa Goma huko mashariki mwa DRC kufuatia mapigano ya waasi wa M23 na wanajeshi wa serikali.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.