Radio
19:30 - 19:59
Bunge la Lebanon limekutana kufanya juhudi nyingine za kumchagua rais na kujaza nafasi ambayo imekuwa wazi kwa zaidi ya miaka miwili.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Sala ya mazishi ya kitaifa ya Rais wa 39 wa Marekani Jimmy Carter imefanyika Washington imehudhuriwa na marais wastaafu pamoja na Rais Biden
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.