Russia yashutumiwa kwa uhalifu wa kivita Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Russia yashutumiwa kwa uhalifu wa kivita Ukraine huku mazungumzo ya kumaliza vita yakikosa kuonyesha dalili ya kupatikana suluhu.

Chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema, chasema hakitashiriki mchakato wa maridhiano bila ya kuwepo mazungumzo kuhusu katiba mpya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari