Rais wa Ukraine: 'Hatutamwachia mtu yeyote kumiliki eneo la kusini'

Rais wa Ukraine's Volodymyr Zelenskiy akiwa na wanajeshi wa Ukraine huku Russia ikiendelea na mashambulizi yake. Eneo alikotembelea halikutajwa upande wa kusini mwa Ukraine, June 18, 2022. (Ukrainian Presidential Press Service/Handout via Re

“Hatutamwachia mtu yeyote kumiliki eneo la kusini, tutarejesha kila kitu ambacho ni mali yetu,” Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema kwa ukaidi mapema Jumapili.

“Hatutamwachia mtu yeyote kumiliki eneo la kusini, tutarejesha kila kitu ambacho ni mali yetu,” Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema kwa ukaidi mapema Jumapili.

after a trip Saturday to Mykolaiv and Odesa, where Russian forces have decimated the area.

Aliyasema hayo baada ya kuzitembelea Mykolaiv na Odesa, ambako majeshi ya Russia kuliharibu kabisa eneo hilo.

Zelenskyy said the losses in the southern regions are “significant,” with many destroyed houses, disrupted civilian logistics and a number of social issues. He was adamant that everything will be restored.

Zelenskyy alisema hasara katika mikoa ya kusini ni “kubwa,” huku nyumba nyingi zikiwa zimeharibiwa, kuvurugwa kwa utaratibu wa kiraia na mbali mbali ya kijamii. Lakini alishikilia kuwa kila kitu kitarejeshwa tena.

“Russia does not have as many missiles as our people have the desire to live,” he said.

“Russia hawana makombora mengi kama vile watu wetu walivyo na utashi wa kuishi,” alisema.

NATO Secretary-General Jens Stoltenberg has warned that the Russian war in Ukraine could be a lengthy and costly one.

Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg ameonya kuwa vita vya Russia nchini Ukraine vinaweza kudumu kwa muda mrefu na vya gharama kubwa.

Jens Stoltenberg

He told the German newspaper Bild am Sonntag, “"We must prepare for the fact that it could take years. We must not let up in supporting Ukraine.”

Ameliambia gazeti la Ujerumani Bild am Sonntag, “Ni lazima tujiandae kwa ukweli kuwa vinaweza kuchukua miaka mingi. Inatakiwa tusiache kuiunga mkono Ukraine.”

He added, “Even if the costs are high, not only for military support, also because of rising energy and food prices."

Aliongeza kuwa, “Ingawaje itakuwa ni gharama kubwa, siyo tu kwa msaada wa kijeshi, lakini pia kwa sababu ya kupanda kwa bei za nishati na chakula.”

British Prime Minister Boris Johnson has also warned that the war in Ukraine could be a long one and that Ukraine needs to receive “weapons, equipment, ammunition and training more rapidly than the invader.”

Waziri Mkuu Boris Johnson

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson pia ameonya kuwa vita vya Ukraine vinaweza kudumu muda mrefu na kwamba Ukraine inahitaji kupatiwa “silaha, vifaa, zana za vita na mafunzo kwa haraka zaidi kuliko aliyokuwa nao mvamizi.”

Meanwhile, German Chancellor Olaf Scholz said in an interview with Germany’s dpa news agency that Ukraine can expect to receive support from the G-7 leading democracies “for as long as necessary.”

Chansela wa Ujerumani Olaf Scholz

Wakati huo huo Chansela wa Ujerumani Olaf Scholz alisema katika mahojiano na shirika la habari la Ujerumani dpa kuwa Ukraine inaweza kutarajia kupokea misaada kutoka demataifa wanachama wa kundi la G-7 linaloongoza kwa demokrasia “muda wote itakapohitajika.”

Baadhi ya taarifa katika ripoti hii zinatokana na mashirika ya habari ya AP na Reuters