Mdahalo wa CNN wa wagombea urais watoa fursa mpya kwa Biden na Trump

Raia wa Marekani wanaoishi Mexico wakusanyika kuangalia mdahalo wa CNN wa wagombea urais kati ya  Rais wa zamani Donald Trump na Rais wa Marekani Joe Biden katika mji wa Mexico City

Picha hizi za Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, kushoto, Rais wa Marekani Joe Biden wakati wa mdahalo wa CNN wa wagombea urais ulioandaliwa na CNN, Juni 27, 2024, in Atlanta.

Rais wa Marekani Joe Biden na Rais wa zamani wa Marekani na mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republikan Donald Trump wakishiriki katika mdahalo wa CNN wa wagombea urais wa uchaguzi wa mwaka 2024 katika studio za Kituo cha Televisheni cha CNN huko Atlanta, Georgia, Juni 27, 2024.. (Photo by ANDREW CABALLERO-REYNOLD

Gavana wa California Gavin Newsom (Mdemokratiki) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika mdahalo wa CNN, mjini Atlanta, Georgia, Marekani  Juni 27, 2024.

Rais wa Marekani Joe Biden na Rais wa zamani wa Marekani na mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republikan Donald Trump wakishiriki katika mdahalo wa CNN wa wagombea urais wa uchaguzi wa mwaka 2024 katika studio za Kituo cha Televisheni cha CNN huko Atlanta, Georgia, Juni 27, 2024.⁣