Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 04:51

Zoezi la uokoaji laendelea DRC, miili 11 zaidi yagunduliwa


Zoezi la uokoaji laendelea DRC, miili 11 zaidi yagunduliwa
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:51 0:00

Wafanyakazi wa uokoaji wamegundua miili 11 zaidi ya watu waliofariki katika mafuriko Jumanne usiku.

Miili hiyo iligundulika katika wilaya ya kaskazini ya Mont-Ngafula mjini humo ambako nyumba nyingi zilizojengwa kwenye maeneo yenye vilima amayo yamekumbwa na maporomoko ya ardhi. Mafuriko yameelezewa kuwa mabaya sana katika miaka kadhaa kusuhudiwa mjini humo.

XS
SM
MD
LG