Russia imemuua mwandishi wa habari kutoka kituo cha utangazaji kinachoungwa mkono na Marekani cha Radio Liberty katika shambulio la kombora dhidi ya Kyiv.
Wachunguzi watoa ripoti ya sehemu ya nne ya tuhuma za rushwa dhidi ya Rais wa zamani Jacob Zuma nchini Afrika Kusini.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari