Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 23:55

Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa


Taarifa za upelelezi Sudan zaonyesha vita vimeleta madhara makubwa
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Taarifa za upelelezi Sudan zinaonyesha kuwa vita vimesababisha ukosefu wa usalama wa chakula, ghasia za kingono na kuwakosesha makazi watu wengi.

Serikali ya DRC na Uganda zimeanza kuwarejesha raia waliokwama wakiwa wamejiunga na kundi la ADF wakiwaunganisha na jamii zao.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG