Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 19:24

Majaji wa mahakama ya ICC watoa kibali cha kukamatwa viongozi wa Israeli


Majaji wa mahakama ya ICC watoa kibali cha kukamatwa viongozi wa Israeli
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Majaji wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa vita (ICC) wametoa kibali cha kukamatwa waziri mkuu wa Israel na waziri wake wa zamani wa ulinzi.

Rais wa Kenya alihutubia taifa, afanya maamuzi makubwa ikiwemo mabadiliko katika mikataba.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG