Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 01:01

Wafanyabiashara wakabiliwa na hasara ya mamilioni kutokana na maandamano Kenya


Wafanyabiashara wakabiliwa na hasara ya mamilioni kutokana na maandamano Kenya
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:24 0:00

Wafanyabiashara wanakabiliwa na hasara ya mamilioni ya fedha kutokana na ghasia za maandamano yanayo shuhudiwa nchini Kenya.

Hii imetokana na msimamo mkali wa kisiasa wa ambao umepelekea upinzani kuzidisha maandamano kuendelea hadi siku mbili kwa wiki. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hali ilivyo nchini Kenya na kiasi cha hasara kinacho wakabili wafanyabiashara. Endelea kusikiliza...

XS
SM
MD
LG