Wakati wapiga kura watapokuwa wakielekea kwenye vituo vya kupiga kura Novemba 5, watakuwa wanawachagua nani watakao dhibiti bunge la Marekani na kuamua kama Mrepublikan Donald Trump na Mdemokrat Kamala Harris wataingia White House.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari