Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 07:35

Russia yashambulia raia katika miji kadhaa ya Ukraine


Russia yashambulia raia katika miji kadhaa ya Ukraine
please wait

No media source currently available

0:00 0:08:21 0:00

Wanajeshi wa Russia wamerusha makombora katika miji kadhaa ya Ukraine wakati watu wakiwa wanaelekea kazini, na kuua raia, kuharibu mitambo ya umeme. Rais Vladmir Putin ametangaza kwamba hatua hiyo ni ya kujibu shambulizi dhidi ya daraja linalounganisha Russia na Crimea.

XS
SM
MD
LG