No media source currently available
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia akosoa utegemezi wa uchumi wa dunia kwa dola ya Marekani akieleza jinsi nchi zinavyobadilisha matumizi yao kwa kutumia sarafu nyingine.