Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 07:42

Mikutano ya kampeni ya dakika za mwisho yashika kasi katika uchaguzi wa Marekani


Mikutano ya kampeni ya dakika za mwisho yashika kasi katika uchaguzi wa Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Wamarekani wanapiga kura kumchagua rais mpya wiki ijayo ambapo wagombea wameendelea na mikutano ya kampeni ya dakika za mwisho kuwashawishi wapiga kura.

Wanadiaspora kutoka nchi mbalimbali wanatoa maoni yao kuhusu uchaguzi wa Marekani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG