Treni hii inatarajiwa kuanza operesheni za kibiashara baadae mwaka huu. Ungana na mwandishi wetu akikuelezea faida za treni hii ambayo hutumia miundombinu iliyopo juu, ikiwemo kupunguza misongamano ya magari na vyombo vingine vya usafiri.
Matukio
-
Desemba 23, 2024
Ghana yakabiliwa na wimbi la taarifa potofu zenye madhara
-
Desemba 20, 2024
Habari Potofu: MISA inawasaidia waandishi Malawi kujenga uaminifu
-
Juni 11, 2024
Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani?