Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 17:14

Mfanyabiashara aeleza changamoto za kukosekana umeme Afrika Kusini


Mfanyabiashara aeleza changamoto za kukosekana umeme Afrika Kusini
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:21 0:00

Mfugaji wa kuku Afrika Kusini apata hasara baada ya kuku wake 40,000 kufa kutokana na ukosefu wa hewa, baada ya kukosekana umeme.

Mfugaji huyo anaeleza mikakati yake katika kukabiliana na tatizo hilo la umeme na vipi mfumo huo unaotumia jenereta unavyofanya kazi na katika hali ya dharura kutokana na ukosefu wa umeme nini wafanyabiashara wengine hufanya. Ungana na mwandishi wetu akikuelezea kwa kina changamoto hizo na suluhisho lake.

XS
SM
MD
LG