Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 06:59

Kimbunga Ian chatishia usalama wa wakazi wa Florida


Kimbunga Ian chatishia usalama wa wakazi wa Florida
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Kimbunga Ian chatishia wakazi wa Florida huku watu wakiharakisha kununua bidhaa muhimu na wengine wakihama kuelekea maeneo salama.

Serikali ya Kenya imeendelea kuwasaka wahalifu waliowauwa polisi na raia katika eneo la kaskazini ya Kenya mapema wiki hii.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG