Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili jinsi waumini wa Kanisa la Kimbanguist mjini Goma walivyopokea tamko la Rais wa Congo kuhusu siku hiyo ya kumbukumbu ya kiroho, na yale ambayo aliyafanya kiongozi huyu. Endelea kusikiliza....
Matukio
-
Desemba 20, 2024
Habari Potofu: MISA inawasaidia waandishi Malawi kujenga uaminifu
-
Juni 11, 2024
Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani?