Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 20:21

Biden kuwaondoa mashaka viongozi wa Afrika kuhusu nia ya Marekani kwa bara hilo


Biden kuwaondoa mashaka viongozi wa Afrika kuhusu nia ya Marekani kwa bara hilo
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:40 0:00

Rais Joe Biden atakuwa mwenyeji wa dazeni ya viongozi wa Afrika hapa Washington wiki hii. Wakati ambapo White House itakuwa ikiangalia kupunguza pengo la uaminifu na Afrika –ambalo limekuwa kubwa baada ya miaka kadhaa ya mashaka kuhusu nia ya Marekani kwa bara hilo.

- Mkutano huu utakuwa ni mkusanyiko mkubwa sana wa kimataifa hapa Washington tangu kuanza kwa janga la Covid-19.

- Maafisa wanawaonya wakazi kuheshimu vizuizi vya barabarani na kuimarishwa kwa ulinzi wakati wakuu na viongozi wa nchi 49 pamoja na Biden wakiwa wanazunguka mjini.

- Rais Joe Biden atakuwa mwenyeji wa dazeni ya viongozi wa Afrika hapa Washington wiki hii. Wakati ambapo White House itakuwa ikiangalia kupunguza pengo la uaminifu na Afrika –ambalo limekuwa kubwa baada ya miaka kadhaa ya mashaka kuhusu nia ya Marekani kwa bara hilo. Mkutano huu utakuwa ni mkusanyiko mkubwa sana wa kimataifa hapa Washington tangu kuanza kwa janga la Covid-19. Maafisa wanawaonya wakazi kuheshimu vizuizi vya barabarani na kuimarishwa kwa ulinzi wakati wakuu na viongozi wa nchi 49 pamoja na Biden wakiwa wanazunguka mjini. #VOAUSAfricaLeadersSummit #USAfricaLeadersSummit, #USAfricaLeadersSummit22

XS
SM
MD
LG