Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 16:25

Uingereza na Rwanda zatia Saini mkataba mpya wa waomba hifadhi


Uingereza na Rwanda zatia Saini mkataba mpya wa waomba hifadhi
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza James Cleverly ametia saini mkataba mpya na Rwanda siku ya Jumanne akijaribu kukabiliana na uamuzi wa mahakama wa kuizuia sera tata ya serikali ya Uingereza ya kuwapeleka waomba hifadhi katika taifa la Afrika Mashariki.

XS
SM
MD
LG