Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 06:07

Chad: Watoto wanaowasili kutoka Sudan wanatatizo la utapiamlo ambalo linahitaji kutibiwa haraka

Chad: Watoto wanaowasili kutoka Sudan wanatatizo la utapiamlo ambalo linahitaji kutibiwa haraka
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:58 0:00

Wafanyakazi wa misaada katika kambi za wakimbizi nchini Chad wanalalamika kuhusu ukosefu wa dawa. Watoto wa wakimbizi ambao wanawasili kutoka Sudan wakikimbia vita, wahudumu wa afya wanaeleza wana tatizo la utapiamlo na wanahitaji huduma za haraka. Endelea kusikiliza...

XS
SM
MD
LG