Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 19, 2025 Local time: 02:17

Wavuvi Mombasa wakabiliwa na ukosefu wa vifaa bora na teknolojia


Wavuvi Mombasa wakabiliwa na ukosefu wa vifaa bora na teknolojia
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:55 0:00

Wavuvi takriban 60,000 nchini Kenya wanakabiliwa na changamoto za vifaa bora na teknolojia ya uvuvi. Mmoja wa wavuvi anaeleza kile ambacho kinawarudisha nyuma wavuvi katika sekta hiyo.

XS
SM
MD
LG