Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 20:38

Marekani yaimarisha matumizi ya mtandao wa Intaneti kwa kutoa ruzuku vijijini


Marekani yaimarisha matumizi ya mtandao wa Intaneti kwa kutoa ruzuku vijijini
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:55 0:00

Serikali ya Marekani hutoa ruzuku kwa kaya zenye uhitaji kuweza kujiunganisha na intaneti yenye kasi katika maeneo ya vijijini. Mpango huu ambao ni wa gharama nafuu kwa wateja wa kipato cha chini ulizinduliwa tangu mwaka 2021.

XS
SM
MD
LG