Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 04:24

Watu nchini Marekani wamejipanga kusherehekea sikikuu ya Siku ya Uhuru wa Marekani


Watu nchini Marekani wamejipanga kusherehekea sikikuu ya Siku ya Uhuru wa Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Watakaoshiriki kutumbuiza mwaka huu ni pamoja na wasanii Chicago, Babyface, Kikundi cha National Symphony Orchestra na bendi ya Jeshi la Marekani.

Viwanja vya Bunge la Marekani vitakuwa ni eneo la maonyesho ya kila mwaka ya Siku ya Uhuru, tamasha hilo litaonyeshwa moja kwa moja kupitia televisheni kwa taifa.Washington pia ni mwenyeji wa matembezi ya kawaida ya Siku ya Uhuru katika barabara ya Constitution Jumanne.


Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG