Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 04:00

Maandamano yashindwa kufanyika nchini Kenya


Maandamano yashindwa kufanyika nchini Kenya
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Maandamano makubwa yaliyokuwa yameandaliwa na kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga yameshindwa kufanyika kufuatia ulinzi mkali.

Zaidi ya wakimbizi laki moja wamekatiza mpaka kutoka Sudan kuingia nchi jirani wakikimbia mapigano yaliyozuka mwezi wa Aprili 2023.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG