Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 23:45

Hali bado tete nchini Sudan, wakaazi waendelea kuhama miji yao


Hali bado tete nchini Sudan, wakaazi waendelea kuhama miji yao
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Baada ya sitisho la mapigano la siku moja kushindwa kufanya kazi nchini Sudan, mapigano makali yameendelea na wakaazi wameanza kuhama miji yao.

Vita dhidi ya malaria huenda ikizidi kuwa na matumaini kufuatia matokeo mazuri ya chanjo ya R21 ambayo nchi ya Ghana imetangaza kuidhinisha matumizi yake.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG