Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 22:56

Mamlaka Alabama yawasihi watu kutoa taarifa za aliyeuwa watu wanne na kujeruhi 28


Mamlaka Alabama yawasihi watu kutoa taarifa za aliyeuwa watu wanne na kujeruhi 28
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:57 0:00

Maafisa wa usalama katika jimbo la Alabama nchini Marekani wanawasihi watu kujitokeza kutoa habari kuhusu shambulizi la bunduki lililosababisha vifo vya watu wanne na wengine 28 kujeruhiwa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea habari kamili.

XS
SM
MD
LG