Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 05:51

Mswaada wa sheria kuhalalisha wanamgambo kuingia vitani wapitishwa


Mswaada wa sheria kuhalalisha wanamgambo kuingia vitani wapitishwa
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:57 0:00

Bunge la Msumbiji limeidhinisha mswaada wa sheria inayohalalisha kujihusisha kwa wanamgambo katika vita dhidi ya wapiganaji wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini la Cabo Delgado.

Wanamgambo wa jimbo hilo wamekuwa wakisaidia jeshi na washirika wao kutoka Rwanda na Jumuia ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika katika vita dhidi ya wapiganaji wa kislamu katika jimbo hilo. Sikiliza repoti kamili na pia unaweza kusikia habari nyingine mbalimbali za dunia ikiwemo mgogoro wa Sudan Kusini na shutuma dhidi ya Rais wa Afrika Kusini.

XS
SM
MD
LG