Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 03:59

DRC: Hali ya wasiwasi yarepotiwa katika miji ya Nyiragongo na Goma


DRC: Hali ya wasiwasi yarepotiwa katika miji ya Nyiragongo na Goma
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:37 0:00

Hali ya wasiwasi inarepotiwa katika mji wa Goma, mji mkuu wa Kivu Kaskazini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) pamoja na wilaya ya Nyiragongo ambako yamejiri mapigano makali kati ya waasi wa M23 na majeshi ya serikali.

XS
SM
MD
LG