Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 17:10

Wananchi Dar es Salaam waeleza tatizo la ukosefu wa maji linavyowaathiri


Wananchi Dar es Salaam waeleza tatizo la ukosefu wa maji linavyowaathiri
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:30 0:00

Dar es Salaam inakabiliwa na tatizo la maji safi na salama, huku wakazi wake wakieleza kero yao kuhusu shida wanayoipata na familia zao.

Lakini baadhi ya wakazi hao wanaeleza kuwa tatizo pia ni baadhi ya miundombinu mbadala ya miradi ya maji ilitelekezwa na hivyo imefanya tatizo hili kuongezeka. Endelea kusikiliza hatua ambayo serikali ya Tanzania inachukua kukabiliana na tatizo hili...

XS
SM
MD
LG