Ushindani mkali unashuhudiwa katika uchaguzi wa katikati ya muhula 2022 hapa Marekani ambapo chama cha Demokratik kinalenga kuendelea kudhibiti Baraza la Wawakilishi sawa na Seneti huku Chama cha Republikan kikiendelea kuonyesha nia ya kuchukua udhibiti wa mabunge hayo.