Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 21:18

Wananchi wakerwa na kuchelewa kuwasili vifaa vya kupiga kura


Wananchi wakerwa na kuchelewa kuwasili vifaa vya kupiga kura
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:11 0:00

Uchaguzi Mkuu wa Kenya umefanyika kwa salama na amani bila ya kuwepo matukio ya ghasia licha kuwepo malalamiko kutoka kwa wapiga kura kwa kucheleweshwa kuwasili vifaa vya kupigia kura.

XS
SM
MD
LG