Vivutio vya kitalii katika hifadhi na mbuga za Ngorongoro na Serengeti vimeendelea kushuhudia idadi kubwa ya watalii katika wiki za karibuni na kurekodi idadi kubwa zaidi ya wageni tangu janga Corona kupungua makali. Vijana wanafaidika vipi na hali hiyo?