Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 16:30

Dunia yasubiri kuona Washington itachukuwa hatua gani kufuatia mauaji ya watoto Texas


Dunia yasubiri kuona Washington itachukuwa hatua gani kufuatia mauaji ya watoto Texas
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Macho yameanza kugeuzwa kuona ni hatua gani zitachukuliwa na Washington baada ya watoto 19 na watu wazima watatu kuuawa katika shambulizi la bunduki Texas, Marekani.

- Hali inaendelea kuwa ya wasiwasi huko kaskazini ya DRC kwa wakaazi kufuatia mapigano yanayoendelea kati ya majeshi ya serikali na waasi wa M23.

- Watu 76 wameripotiwa hawajulikani walipo baada ya boti iliyokuwa imebeba wahamiaji 100 kuzama nje ya pwani ya Tunisia.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG